Rais wa Gabon Ali Bongo ameomba msaada baada ya jeshi kumuondoa madarakani katika mapinduzi na kumuweka katika kizuizi cha nyumbani. Akizungumza siku ya Jumatano kutoka kwa kile alichosema ni makazi ...
Jeshi nchini Gabon limetwaa mamlaka na kumueka Rais Ali Bongo, 64, katika kizuizi cha nyumbani. Unyakuzi huo ulikuja muda mfupi baada ya matokeo ya uchaguzi kutangazwa kusema Bw Bongo amechaguliwa ...
Katika taarifa ndefu iliyotolewa siku ya Alhamisi, Julai 3, Sylvia na Noureddin Bongo wanasisitiza mateso walioyapata kutoka kwa mamlaka ya Gabon kwa. Wanasema kuwa walijumuisha kwenye faili la ...
Kiongozi wa Gabon Ali Bongo Ondimba, anayewania muhula wa tatu, atachuana na wagombea 18 katika uchaguzi wa rais utakaofanyika mwezi ujao. Familia ya Bongo imetawala taifa hilo la Afrika Magharibi kwa ...
Siku tatu baada ya mahojiano ya Brice Oligui Nguema, rais wa mpito wa Gabon, na RFI na France 24 siku ya Jumanne, Machi 25, mawakili wa familia ya Bongo wametaka kujibu maoni aliyotoa wakati huo ...